Hadithi
Sehemu ya Imani.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 6
- 3138
Fanyeni haraka kufanya matendo kuna fitina nzito kama kipande cha usiku wa giza,
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 3438
Kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake Alisema kuhusu maanswari (watu wa Madina): Hawampendi ila mtu muumini, na hawamchukii ila mnafiki, atakayewapenda Answaar na Mwenyezi Mungu atampenda, na atakayewachukia Mwenyezi Mungu atamchukia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65003
- 65004
- 65010
"Hivi mnajua kuwa Mola wenu amesema nini?" Wakasema: Mwenyezi Mungu na Mtume wake ndiyo wanajua zaidi, akasema: "Watu wangu kwenye kuteremka Mvua wamegawanyika makundi mawili kuna waumini na makafiri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65031
Kwa hakika mimi nitakuwa kwenye Birika langu namtazama kila mwenye kuja kwangu kunywa, na kuna watu watafukuzwa, na nitasema: Ewe Mola wangu huyu anatokana na mimi na ni katika umma wangu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake