Hadithi

Katika sunna atakaposema muadhini katika adhana ya Alfajiri: Hayya Alal-fala'h, aseme: Aswalatu khairu mmina nnaum. Yaani: Swala ni bora kuliko usingizi

Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0

SahihiImepokelewa na Ibnu Khuzaymah, Addar- Alqutni na Albayhaqy

Matini ya Kiarabu

عَنْ أَنَسٍ رَضيَ اللهُ عنه قَالَ: مِنَ السُّنَّةِ إِذَا قَالَ الْمُؤَذِّنُ فِي أَذَانِ الْفَجْرِ حَيَّ عَلَى الْفَلَاحِ، قَالَ: الصَّلَاةُ خَيْرٌ مِنَ النَّوْمِ.

Tafsiri

Imepokelewa kutoka kwa Anas radhi za Mwenyezi Mungu ziwe ju yake amesema: Katika sunna atakaposema muadhini katika adhana ya Alfajiri: Hayya Alal-fala'h, aseme: Aswalatu khairu mmina nnaum. Yaani: Swala ni bora kuliko usingizi.

Ufafanuzi

Ameeleza Anasi bin Maliki radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, kuwa miongoni mwa mambo aliyoyakubali Mtume rehema na amani ziwe juu yake katika sunna zake, ni Muadhini kusema katika Adhana Alfajiri pekee, baada ya kauli yake: "Hayya a'lal falaah" asema: "Asswalaatu khairuni minan nauum" Yaani swala ni bora kuliko usingizi.

Mafunzo

  • Kauli yake: "Katika sunna": Yaani: Sunna ya Mtume rehema na amani ziwe juu yake, inahukumu ya kufikishwa kwa Mtume, yaani inanasibishwa kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake.
  • Sunna asema Muadhini katika swala ya Alfajiri baada ya: Hayya a'lal falaah: Aseme: Asswalaatu khairun minan nauum, yaani: Swala ni bora kuliko usingizi, mara mbili; kwa sababu swala ya Alfajiri watu wengi hulala, na wanaamka kwenda katika swala kutoka usingizini, ikahusika swala ya Alfajiri pekee pasina swala nyinginezo.
Ufafanuzi: العربية

أخبر أنس بن مالك رضي الله عنه، أن مما أقره النبي صلى الله عليه وسلم في سنته، أن يقول المؤذن في أذان الفجر خاصة، بعد قوله: (حي على الفلاح)، أن يقول: (الصلاة خير من النوم).

  • قوله (من السنة): يعني سنة النبي صلى الله عليه وسلم، فله حكم الرفع، أي المنسوب إلى النبي صلى الله عليه وسلم.
  • استحباب أن يقول المؤذن في أذان الفجر بعد: حي على الفلاح: الصلاة خير من النوم، مرتين؛ لأن صلاة الفجر في وقت ينام فيه عامة الناس، ويقومون إلى الصلاة من نوم، فاختصت صلاة الفجر بذلك دون غيرها من الصلوات.

Mada

Ripoti kosa

Zaidi