Hadithi
Sala.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Wajibu wa Swala na Hukumu ya Mwenye kuiacha. (11)
- Fadhila za Swala. (15)
- Adhana na Iqama. (10)
- Nyakati zilizo katazwa kusali. (2)
- Masharti ya Swala. (4)
- Nguzo za swala (2)
- Mambo ya wajibu ndani ya Swala (1)
- Nguzo za Swala. (4)
- Sifa za Swala. (18)
- Adh-kaar - zisomwazo- wakati wa swala. (14)
- Vyenye kuharibu Swala. (1)
- Makosa ya wenye kusali. (5)
- Sijida kwa ajili ya kusahau na kusoma na kushukuru (1)
- Ubora wa Swala ya Jamaa na Hukumu zake. (9)
- Hukumu ya Imamu na Maamuma. (6)
- Swala za watu wenye Dharura. (1)
- Swala ya kuomba Mvua. (1)
- Hukumu za Misikiti. (15)
matokeo 129
- 3013
Mtakaposikia wito (Adhana), basi semeni mfano wa yale ayasemayo muadhini
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3031
Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni katika ukamilifu wa swala
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3062
Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim katika riwaya zake zote - 3064
- 3066
Itakaposimamishwa swala na kikatengwa chakula cha usiku basi anzeni na chakula cha usiku
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim katika riwaya zake zote - 3081
Amekataza Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- kuswali baada ya swala ya sub-hi mpaka lichomoze jua, na baada ya laasiri mpaka lizame
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim kwa riwaya zake - 3086
Hivi haogopi mmoja wenu (Au: Hachelei mmoja wenu) atakapoinua kichwa chake kabla ya imamu, Mwenyezi Mungu akifanye kichwa chake kuwa kichwa cha punda, au aifanye Mwenyezi Mungu sura yake kuwa sura ya punda
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3088
- 3095
Yakwamba Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Alikuwa akinyanyua mikono yake usawa wa mabega yake anapofungua swala,
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3096
Alinifundisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake, namna ya tashahudi iletwayo ndani ya sala, na kiganja changu kikiwa kati ya viganja vyake, kama anavyonifundisha sura ndani ya Qur'ani
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3103
Allaahumma inniy a'udhubika min adhaabil Qabri, wa min adhaabin naari, wamin fitnatil mahyaa wal mamaati, wamin sharri fitnatil masiihiddajjaali
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3104
Allaahumma baaid bainiy -Ewe Mwenyezi Mungu weka mbali baina yangu- wa baina khatwaayaaya -na baina ya makosa yangu- kamaa baa a'tta bainal mashriqi wal maghribi -kama ulivyoweka mbali baina ya mashariki na magharibi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3107
Utakapomwambia mwenzako: Nyamaza, siku ya Ijumaa, na imamu akihutubu, basi utakuwa umefanya mchezo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3111
Linganeni sawa katika sijida, na asikunjue mmoja wenu mikono yake kama anavyokunjua mbwa
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 3112
Nilimuuliza Anas bin Malik: alikuwa Nabii Rehema na amani za Allah ziwe juu yake- akiswali na viatu vyake? akasema: ndio
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 3174
Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, mali zimeteketea na njia zote zimekatika, muombe Mwenyezi Mungu atuletee mvua
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3185
Rudi kaswali, kwani wewe hujaswali
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3293
- 3336
Ewe Mwenyezi Mungu, usilifanye kaburi langu kuwa ni sanamu
SahihiImepokelewa na Ahmad - 3346
Msilifanye kaburi langu kuwa sikukuu, wala nyumba zenu kuwa makaburi, na nitakieni rehma, kwani dua zenu hunifikia popote mlipo
Ni sahihi kwa njia zake na ushahidi wakeImepokelewa na Ibn Abii Shaybah