Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
Matini ya Kiarabu
عن عَائِشَةَ رضيَ الله عنها قالت: إِنِّي سمعْتُ رسولَ الله صلى الله عليه وسلم يقول: «لَا صَلَاةَ بِحَضْرَةِ الطَّعَامِ، وَلَا هُوَ يُدَافِعُهُ الْأَخْبَثَانِ».
Tafsiri
Kutoka kwa Aisha -Radhi za Allah ziwe juu yake- amesema: Mimi nilimsikia Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akisema: "Hakuna swala chakula kinapokuwa tayari, na wala hakuna (swala) akiwa anazuia na kubana vichafu viwili(Haja kubwa na ndogo)".
Ufafanuzi
Amekataza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuswali kinapotengwa chakula kile anachokitamani mwenye kuswali, na moyo wake umefungamana nacho. Na vile vile amekataza kuswali mtu akiwa anazuia haja mbili -nazo ni mkojo na haja kubwa-, kwakuwa atashughulika na kuzuia udhia.
Mafunzo
- Ni lazima kwa mwenye kusali aweke mbali kila chenye kumshughulisha katika swala yake kabla ya kuingia ndani ya swala.
Ufafanuzi: العربية
نَهى رسولُ الله صلى الله عليه وسلم عن الصلاة بحضور الطعام الذي تَتُوْقُ نَفسُ المُصلي إليه، ويَتعلق قلبُه به. وكذلك نهى عن الصلاة مع مدافعة الأخبثين -وهما البول والغائط--، لانشغاله بمدافعة الأذى.
- ينبغي للمصلي إبعاد كلِّ ما يَشْغَلُه في صلاته قبل الدخول فيها.