Hadithi
Uzushi.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 5
- 3373
- 4792
Atakayezua katika dini yetu hii, yale yasiyokuwemo, basi yatarejeshwa
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65868
Watatokea katika zama za mwisho watu wenye umri mdogo (vijana), wenye mawazo ya kipumbavu, watazungumza maneno mazuri kuliko maneno ya viumbe wote, (lakini) wanatoka katika Uislamu kama unavyotoka mshale katika upinde
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66514
Yeyote atakayezua (kitu) katika jambo letu hili (dini) ambalo si miongoni mwake, basi hilo litakataliwa
SahihiImepokelewa na Bukhari na Muslim - 66535
Hatokuwa na imani mmoja wenu mpaka yawe matamanio yake ni yenye kufuata yale niliyokujua nayo
Amesema Nawawi: Hadithi hii ni sahihiImepokelewa na katika kitabu cha Al-Hujjah kwa msururu sahihi wa wasimulizi