Hadithi
Fadhila za Qur'an.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 19
- 5775
- 5907
Shikamaneni vizuri na hii Qur'ani, namuapa yule ambaye nafsi ya Muhammadi iko mkononi mwake, hutoroka kwa kasi mno kuliko hata Ngamia katika kamba yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5913
Mmbora wenu ni yule aliyejifunza Qur'ani na akaifundisha
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 6208
Msiyafanye majumba yenu kuwa makaburi, hakika Shetani hukimbia kutoka katika nyumba inayosomwa suratul Baqara ndani yake
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 6258
Mfano wa muumini mwenye kusoma Qur'ani ni kama mfano wa chenza harufu yake nzuri na ladha yake nzuri, na mfano wa muumini ambaye hasomi Qur'ani ni kama mfano wa tende: haina harufu na ladha yake ni tamu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6265
- 6274
Atakayesoma aya mbili za mwisho wa suratul Baqara zitamtosheleza
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6275
Atakayesoma herufi moja katika kitabu cha Allah basi atapata jema moja kwa herufi hiyo, na jema hilo hulipwa mara kumi mfano wake
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa Imamu Tirmidhiy - 10113
Anayesoma Qur'ani kwa uhodari huwa pamoja na msafara wa Malaika watukufu, na anayesoma Qur'ani huku anasitasita na huku kwake bado ni ngumu huyo anamalipo mara mbili
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 10851
Someni Qur'ani, kwani, itakuja Siku ya Kiyama kama muombezi kwa sahibu wake
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65054
Ataambiwa msomaji wa Qur'ani: Soma na upande daraja, na soma kwa utulivu kama ulivyokuwa ukisoma Duniani, kwa hakika upandaji wa cheo chako utakomea katika Aya ya mwisho utakayoisoma
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ahmad - 65059
- 65060
- 65099
- 65261
“Ninaapa kwa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hakika, hiyo ni sawa na theluthi moja ya Qur'ani
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 65285
bali semeni: Tumesikia na tumetii tunataraji msamaha toka kwako ewe Mola wetu Mlezi, na marejeo ni kwako
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65298
kuna Aya ndani ya kitabu chenu hua mnaisoma, laiti ingelikuwa imeteremka kwetu sisi jamii ya Mayahudi, basi tungeifanya siku hiyo kuwa sikukuu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65448
Zimeteremshwa kwangu aya, hazijawahi kuonekana mfano wake katu, sura mbili za kinga
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65787
Hakika imeteremshwa juu yangu aya ni aya ninayoipenda zaidi kuliko dunia nzima
SahihiImepokelewa Imamu Muslim