Hadithi
Hukumu za wanawake.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 10
- 3053
- 3071
Hachukii muumini wa kiume tabia za muumini wa kike, akichukia tabia fulani basi ataridhishwa na tabia nyingine
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 3160
Ukipenda unaweza kuvumulia na utapata malipo ya Pepo, na ukitaka nitakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuponye
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5794
Dunia ni starehe, na starehe yake bora ni mke mwema
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 5888
Tahadharini sana na kuingia/kukaa kwa wanawake" Mtu mmoja katika Maanswari akasema: Ewe Mtume wa Allah vipi kuhusu shemeji? Akasema: "Shemeji ni kifo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6220
- 10011
Enyi hadhara ya wanawake, toeni sadaka, kwani hakika mimi nilionyeshwa kuwa nyinyi ndio wengi katika watu wa motoni" Wanawake wakasema: Na ni kwa nini ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu? Akasema: "Mnazidisha sana kulaani (kutukana) na mnawapinga waume, na mimi sijapata kuona wapungufu wa akili na dini wenye kuweza kuteka moyo ya mwanaume makini kuliko nyinyi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 10603
Asisafiri mwanamke mwendo wa siku mbili mpaka awe pamoja na mume wake, au maharimu yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65416
Msiwazuie vijakazi wa Mwenyezi Mungu kwenda katika misikiti ya Mwenyezi Mungu, lakini wakitaka kutoka watoke wakiwa hawajajipamba
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud - 66196
Hakika mimi siwapi mkono wanawake, bali hakika kauli yangu kwa wanawake mia moja ni sawa na kauli yangu kwa mwanamke mmoja
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy, Nasai na Ibn Majah