Hadithi
Swala ya Ijumaa
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Ubora wa siku ya Ijumaa (2)
- Ubora wa Swala ya Ijumaa. (1)
- Hukumu za Swala ya Ijumaa. (1)
- Hukumu za hotuba ya Ijumaa. (1)
matokeo 8
- 3107
Utakapomwambia mwenzako: Nyamaza, siku ya Ijumaa, na imamu akihutubu, basi utakuwa umefanya mchezo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5393
Atakaye koga siku ya Ijumaa josho la janaba, kisha akatoka katika saa ya kwanza ni kana kwamba katoa sadaka ya ngamia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5394
Atakayekuja miongoni mwenu kwa ajili ya Ijumaa basi na aoge
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5433
- 10036
Kuoga siku ya Ijumaa ni wajibu kwa kila aliyebaleghe, na apige mswaki, na aguse marashi ikiwa atapata
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65312
- 65767
- 65768
Atakayeacha Ijumaa tatu kwa kuzipuuzia; Mwenyezi Mungu hupiga muhuri katika moyo wake
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ahmad