Hadithi
Kumuamini Allah mwenye nguvu aliye tukuka
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Kumpwekesha Allah kwa vitendo vyake (Uumbaji) (7)
- Kumpwekesha Mwenyezi Mungu kwa Uungu wake. (34)
- Kumpwekesha Mwenyezi Mungu katika majina yake na sifa zake. (29)
matokeo 80
- 2945
Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu anakukatazeni kuapa kwa baba zenu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3330
Laana za Mwenyezi Mungu ziwe juu ya Mayahudi na Maswara, waliyafanya makaburi ya Manabii wao kuwa ni Misikiti
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3342
- 3347
- 3352
Msiseme: Ni kwakutaka Mwenyezi Mungu na fulani, lakini semeni: Akitaka Mwenyezi Mungu kisha akataka fulani
Sahihi kwa mkusanyiko wa njia zakeImepokelewa naAbu Daud na Nasai katika Sunan Alkubra na Ahmad - 3353
kuapa kwangu kwa jina la Mwenyezi Mungu kwa uongo napenda zaidi kuliko kuapa kwa jina la asiyekuwa Mwenyezi Mungu nikisema ukweli
SahihiImepokelewa na Ibn Abii Shaybah - Imepokelewa na Abdul Razaaq - 3354
Hakika Mwenyezi Mungu hupata wivu, na hakika muumini hupata wivu, na wivu wa Mwenyezi Mungu ni pale muumini anapoyafanya yale aliyomharamishia juu yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3376
Ni nini kinachowaogopesha hawa? wanapatwa na ulaini (wanazikubali) katika aya zilizo wazi, na wanaangamia katika aya zinazotatiza
SahihiImepokelewa naIbn Abii A'swim - Imepokelewa na Abdul Razaaq - 3406
- 3412
Si chochote mbingu saba na ardhi saba katika kiganja cha Ar-Rahmaani -Mwingi wa rehema- isipokuwa ni kama punje ya ulezi katika mkono wa mmoja wenu
Albany amenukuu usahihi wake kutoka kwa Ibn Taymiyyah na hakuifatiliaImepokelewa na Ibnu Jariri - Imepokelewa na Adh-dhahaby katika kitabu cha Uluwwi - Imepokelewa na Abdallah bin Al-Imam Ahmad - 3413
Si chochote kursiy (Mahala anapoweka miguu Ar-Rahmani) katika Arshi isipokuwa ni kama bangili la chuma lililowekwa katika ardhi ya jangwa
SahihiImepokelewa na Abii Shayba katika kitabuchake Al Arshi - Imepokelewa na Adh-dhahaby katika kitabu cha Uluwwi - 3414
- 3417
, atamuingiza Mwenyezi Mungu peponi kulingana na yale aliyokuwa nayo katika matendo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3419
Atakayekufa hali yakuwa anaomba kinyume na Mwenyezi Mungu mungu mwingine, ataingia motoni
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3420
Wameangamia wenye kufanya uzito katika mambo
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 3422
Hakuna kuambukizana maradhi, wala kutuhumu mikosi kwa sababu ya ndege, na kinachonipendeza zaidi ni kujipa matumaini". Wakasema: Ni nini matumaini? Akasema: "Ni neno jema
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3469
Fanyeni matendo na muwe na msimamo, na tambueni kuwa hatosalimika mmoja wenu kwa sababu ya matendo yake, wakasema: Hata wewe ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu?! Akasema: Hata mimi isipokuwa atakaponifunika mimi Mwenyezi Mungu kwa huruma zake na fadhila zake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3636
Mimi nipo katika dhana ya mja wangu kwangu, na Mimi nipo naye wakati anaponitaja
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3777
Hatomsitiri mja mja mwenzie duniani isipokuwa Mwenyezi Mungu atamsitiri siku ya kiyama
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 4176