Hadithi
Kuamini mitume
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Utume. (3)
- Manabii na Mitume waliotangulia - juu yao amani. (4)
- Mtume wetu Muhammad - Rehema na amani za Allah ziwe juu yake- (12)
- Karama za Mawalii. (2)
matokeo 20
- 3272
- 3389
- 3393
Nyanyua kichwa chako na sema yasikilizwe, na omba upewe, na taka utetezi utetewe
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 3503
Nimepewa mambo matano ambavyo hakupewa mtu mwingine miongoni mwa Manabii kabla yangu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3711
“Siku bora zaidi iliyochomozewa jua ni siku ya Ijumaa
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 4239
Alifariki Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- hali yakuwa hakuna chochote nyumbani kwake anachoweza kukila mwenye ini (uhai) ila kiasi kidogo cha ngano kilichokuwa katika ubao wangu (wa kuhifadhia chakula), nikala mpaka kikakaa muda mrefu, nilipokipima kikamalizika
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 4295
Niacheni na vile nilivyo kuachieni, hakika waliangamia waliokuwa kabla yenu kwa sababu ya maswali mengi na kuwapinga mitume wao
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4947
Umma wangu wote wataingia peponi isipokuwa atakaye kataa
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 65000
Umejengwa uislamu kwa mambo matano
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65005
Kwa hakika imefikia wakati ambao mtu atafikiwa na hadithi yangu akiwa amekaa kwenye tandiko lake na akisema: Hakika kitakachotuhukumu kati yetu ni kitabu cha Mwenyezi Mungu
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ibn Majah - 65025
Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hivi karibuni atakuteremkieni Issa mwana wa Mariam atakuwa hakimu na muadilifu, atavunja misalaba, na ataua nguruwe, na ataweka kodi (Jizia), na mali itabugujika (itakuwa nyingi) mpaka itafikia mahali hakuna yeyote atakayeikubali
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65044
na mimi ndiye ninaitwa Dhwamam Bin Thaalaba ndugu wa Banii Saad Bin Bakri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65050
Uliteremshwa Wahyi kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akiwa na umri wa miaka arobaini
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65077
Andika, namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hakitoki ndani yake ila haki
SahihiImepokelewa na Abu Daud - 65121
Hakika mchamungu wenu na mwenye kumjua zaidi Mwenyezi Mungu kwenu nyinyi ni mimi
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 65231
Hakuna yeyote katika Manabii isipokuwa alipewa mfano wa yale waliyoyaamini watu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65868
Watatokea katika zama za mwisho watu wenye umri mdogo (vijana), wenye mawazo ya kipumbavu, watazungumza maneno mazuri kuliko maneno ya viumbe wote, (lakini) wanatoka katika Uislamu kama unavyotoka mshale katika upinde
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66370
Karne bora ni karne yangu, kisha wale wanaowafuata, kisha wale wanaowafuata
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66512
Umejengwa uislamu kwa mambo matano
SahihiImepokelewa na Bukhari na Muslim - 66517
Yale niliyokukatazeni basi yaepukeni, na yale niliyokuamrisheni basi fanyeni katika hayo kadiri muwezavyo
SahihiImepokelewa na Bukhari na Muslim