Hadithi
Vyakula na vinywaji.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Hukumu za Vyakula na Vinywaji. (1)
- Kilichokuwa halali na Haramu katika wanyama na Ndege. (2)
- Uchinjaji. (4)
- Uwindaji (2)
- Hukumu za vichinjwa vya makafiri (1)
- Vinywaji vilivyoharamishwa. (4)
matokeo 13
- 2956
- 2971
Alichinja Mtume rehema na amani ziwe juu yake kondoo wawili wazuri weupe wenye pembe, aliwachinja kwa mkono wake, akasema, Bismillahi Allaahu Akbar, na akaweka mguu wake ubavuni mwao
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2984
Hakika wanyama hawa wafugwao ni wanyama kama walivyo wanyama pori, watakaokushindeni miongoni mwao (kuwachinja) basi fanyeni hivyo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2994
Atakayefuga mbwa isipokuwa mbwa wa mawindo au wa mifugo, basi yatapungua katika matendo yake kila siku kiratu (shehena) mbili
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4319
Hakika Mwenyezi Mungu amewajibisha (kufanya) wema katika kila kitu
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 4556
Hakika Allah na Mtume wake ameharamisha kuuza pombe, na mzoga na nguruwe na masanamu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 58259
kila kilevi ni haramu, na atakayekunywa pombe duniani na akafa akiwa mlevi kupindukia na hakutubia, hatoinywa huko akhera
SahihiImepokelewa na Muslim, vile vile Bukhari ikiwa na ibara ya mwisho ndani ya kitabu chake - 64643
Alikataza kula kila chenye meno ya chonge katika wanyama wanaoshambulia, na kila chenye mdomo wa chonge katika ndege
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65426
- 66034
Tambueni kuwa pombe imekwisha haramishwa
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66036
Kinacholewesha kikiwa kingi, basi hata kidogo ni haramu
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 66521
Hakika Mwenyezi Mungu amefaradhisha (kutenda) wema katika kila kitu
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 66536
Kila kilevi ni haramu.
SahihiImepokelewa na Bukhari na Muslim