Hadithi
Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 40
- 2965
Chukua katika mali yake kwa wema, kiasi kinachokutosha wewe na wanao
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3053
- 3071
Hachukii muumini wa kiume tabia za muumini wa kike, akichukia tabia fulani basi ataridhishwa na tabia nyingine
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 3160
Ukipenda unaweza kuvumulia na utapata malipo ya Pepo, na ukitaka nitakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuponye
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3599
Mkono wa juu ni bora kuliko mkono wa chini
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3854
Muunga udugu si mlipa fadhila, bali muunga udugu ni yule ambaye udugu wake ukikatwa anauunga
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 4236
Msaidie ndugu yako akiwa amedhulumu au kudhulumiwa
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 4292
Hakika vitu hivi viwili ni haramu kwa wanaume wa umma wangu, ni halali kwa wanawake wao
SahihiImepoekelewa na Abu Daud, Nasai na Ibn Majah - 4311
Kunyonya pamoja kuna haramisha yale yanayo haramishwa na kuzaliwa pamoja
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5792
Muumini iliyekamilika zaidi imani yake ni yule mwenye tabia nzuri zaidi kuliko wengine, na mbora wenu ni yule mbora wenu kwa wake zake
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad - 5794
Dunia ni starehe, na starehe yake bora ni mke mwema
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 5805
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Toa ewe mwanadamu na mimi nikupe
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5813
- 5819
Kila mmoja miongoni mwenu ni mchunga hivyo ataulizwa kuhusu raia wake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5821
Hakika wamekuja katika familia za Muhammad wanawake wengi wakiwashitakia waume zao, (wanaume) hao si bora kati yenu
SahihiImepokelewa na Abu Daud na Ibn Majah - 5863
Enyi kongamano la vijana mwenye uwezo miongoni mwenu wa kuoa na aoe, kwani ndoa ni sababu ya kuinamisha macho na kulinda tupu, na asiekuwa na uwezo basi ajilazimishe kufunga, hakika funga kwake itakata matamanio
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5888
Tahadharini sana na kuingia/kukaa kwa wanawake" Mtu mmoja katika Maanswari akasema: Ewe Mtume wa Allah vipi kuhusu shemeji? Akasema: "Shemeji ni kifo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6021
Sharti zenye haki zaidi kwenu nyinyi kuzitekeleza ni zile mlizohalalishia tupu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6035
Basi usinifanye mimi kuwa shahidi, kwani siwezi kushuhudia dhulma
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim, na ina matamshi mengine - 6086
Asiache mapambo na kupendeza mwanamke yeyote kwa maiti zaidi ya siku tatu, isipokuwa kwa mume wake atakaa miezi minne na siku kumi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake