Hadithi
Twahara - usafi-
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Hukumu za Maji. (2)
- Kuondoa Najisi. (6)
- Vyombo. (1)
- Adabu za Kukidhi Haja. (9)
- Sunna za Kimaumbile. (8)
- Kutayammam (1)
- Hedhi Nifasi na Damu ya Ugonjwa. (4)
- Kufuta juu ya Khofu mbili au soksi mbili (5)
matokeo 62
- 3014
Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3029
hakika hilonitatizolinatokananamshipawakizazikukatika, lakini acha swala kwa kiasi cha siku ulizokuwa ukipata hedhi ndani yake, kisha oga na swali
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3030
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, chombo chenye maji na mkongojo, basi anastanji kwa maji
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3033
Atakapotawadha mmoja wenu basi na aweke maji puani mwake kisha ayapenge, na atakayestanji kwa mawe basi afanye yawe witiri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3063
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3075
Nilikuwa pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake akafika katika jalala la watu fulani akakidhi haja ndogo akiwa kasimama,
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3076
Sub-haana llaah, ametakasika Mwenyezi Mungu, hakika muumini hanajisiki
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3078
“Mnapoingia chooni, msielekee Kibla, wala msikipe mgongo, bali elekeeni Mashariki au Magharibi.”
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3079
Asishike mmoja wenu utupu wake kwa mkono wake wa kulia akiwa anakidhi haja ndogo, na asijifute haja ndogo au kubwa kwa mkono wake wa kulia na asipumulie ndani ya chombo anachonywea
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3143
Atakapokunywa mbwa katika chombo cha mmoja wenu basi akioshe mara saba
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3144
Mambo ya kimaumbile ni matano: Kutairi, na kunyoa sehemu za siri, na kupunguza masharubu, na kupunguza kucha na kunyofoa nywele za kwapa
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3150
- 3279
Punguzeni sharubu na mfuge ndevu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3284
- 3310
Namna ya kuoga janaba
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3313
Atakayetawadha mfano wa udhu wangu huu, kisha akasali rakaa mbili ambazo haizungumzishi ndani yake nafsi yake, basi Allah atamsamehe madhambi yake yaliyotangulia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3316
- 3348
Nilikuwa ni mtu mwenye kutokwa na madhii kwa wingi na nilikuwa nikiona haya kumuuliza Mtume Rehema na amani ziwe juu yake kutokana na nafasi ya binti yake kwangu, nikamuamrisha Mikidadi bin Aswadi, akamuuliza, akasema: "Aoshe tupu yake na atawadhe
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3356
Mtakapo vaa, na mtakapo tawadha, basi anzeni na kuliani kwenu
SahihiImepokelewa na Ibnu Maajah - Imepokelewa na Imamu Tirmidhiy - Imepokelewa na Abuu Daud - Imepokelewa na Ahmad - 3444
akatawadha mbele yao udhu wa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake