Hadithi
Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Matendo ya moyoni. (22)
- Maradhi ya Moyo. (2)
- Kuipa nyongo Dunia na Kujiepusha na yaliyo haramu. (8)
- Hali za watu wema. (5)
- Kuyasema vibaya Maasi. (15)
- Kuyasema vibaya mapenzi ya kuipenda dunia. (20)
- Kuyasema vibaya matamanio ya nafsi na ya kimwili. (7)
- Toba (8)
- Kuzitakasa Nafsi. (17)
- Watu wa makaburini. (2)
- Sifa za pepo na moto. (28)
matokeo 124
- 2941
Hivi nikuelezeni madhambi makubwa?
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2981
Kulikuwa na jeraha (kwa mmoja) katika wale waliokuwa kabla yenu, akakasirishwa nalo akachukua kisu akaukata mkono wake, damu ikachuruzika na wala haikukatika mpaka akafa, akasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Kaniharakisha mja wangu yeye mwenyewe, na mimi nimemharamishia pepo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3010
Hakika hao wawili wanaadhibiwa, na hawaadhibiwi kwa makosa makubwa, ama mmoja wao alikuwa hajistiri na mkojo, na ama mwingine alikuwa akitembea kwa kuchonganisha watu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3044
Madhambi makubwa: Ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na kuwaasi wazazi wawili, na kuuwa nafsi, na kiapo cha uongo
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 3053
- 3087
Yakuwa mtu mmoja alimuuliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuhusu Kiyama, akasema: Lini Kiyama? Akasema: “Umetayarisha nini kwa ajili yake?”
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3127
“Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeba miski na mfua vyuma
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3142
Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu rehema na amani ziwe juu yake akisema mara kwa mara: “Ewe Mbadilishaji nyoyo, uweke imara moyo wangu katika dini yako.”
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad - 3157
- 3159
Majaribio hayaachi kumpata muumini wa kiume na muumini wa kike katika nafsi yake, na watoto wake, na mali yake mpaka atakapokutana na Mwenyezi Mungu ilhali hana dhambi hata moja
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad - 3298
Ajabu iliyoje ya jambo la muumini, hakika jambo lake lote ni kheri, na hakuna hilo kwa yeyote ila kwa muumini,
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 3331
Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3333
- 3342
- 3345
Ataletwa mtu siku ya Kiyama, kisha atupwe motoni, ujiviringishe utumbo na vyote vilivyomo tumboni mwake, atazunguka nao (motoni) kama punda anavyozunguka na jiwe la kusagia nafaka
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3367
Hakuna msaada na riziki mnayopewa nyinyi isipokuwa ni kupitia kwa watu madhaifu wenu
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 3370
- 3396
- 3407
Hakuna kuambukizana, wala mikosi ya ndege, wala mkosi wa Bundi, wala mkosi wa Kipanga (Jamii ya ndege). Na mkimbie mwenye ukoma kama unavyomkimbia simba
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3417
, atamuingiza Mwenyezi Mungu peponi kulingana na yale aliyokuwa nayo katika matendo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake