Hadithi
Muongozo wa Mtume.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Muongozo wake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake katika kujitwaharisha. (2)
- Muongozo wake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake katika swala (4)
- Muongozo wake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake katika Ndoa na kuamiliana na wake zake. (3)
matokeo 15
- 3018
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akipendezwa sana na kuanzia kulia, katika kuvaa kwake viatu, na kutana kwake nywele, na twahara yake, na katika mambo yake yote
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3030
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, chombo chenye maji na mkongojo, basi anastanji kwa maji
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3062
Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim katika riwaya zake zote - 3063
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3145
“Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu, ole wao waarabu na watahadhari dhidi ya shari iliyokaribia, imefunguliwa leo katika ngome ya Ya'juuju na Ma'ajuju upenyo wa kiasi hiki.”
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3177
- 3220
Yakwamba Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa anapo swali anatanua kati ya mikono yake mpaka unaonekana weupe wa kwapa zake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3443
Alikuwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- akiitembelea msikiti wa Qubaa kwa kipando na pia kwa miguu, anaswali ndani yake rakaa mbili
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim kwa riwaya zake - 3476
Nilikuwa nikioga mimi na Mjumbe wa Mwenyezi Mungu -Rehema na Amani ziwe juu yake- katika chombo kimoja sisi wote tukiwa na janaba, na alikuwa akiniamrisha najifunga kikoi (kishida), ananigusa na mimi nikiwa katika hedhi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6078
Wana nini watu waliosema kadhaa wa kadhaa? lakini mimi ninaswali na ninalala na ninafunga na ninakula, na ninaoa wanawake; atakayeuchukia muongozo wangu basi hayuko nami
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65815
Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake milo miwili kwa siku isipokuwa mlo mmoja utakuwa ni tende
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65816
Hawakuwahi kushiba katika chakula cha ngano watu wa famili ya Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake tangu alipofika Madina, kwa siku tatu mfululizo, mpaka alipofariki
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65820
Lilikuwa tandiko la Mtume rehema na amani ziwe juu yake ni kutokana na ngozi, na ndani limejazwa majani ya mitende
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65821
- 66272
Hakika mimi sikutumwa kuwa mtoa laana, bali nilitumwa kuwa huruma
SahihiImepokelewa Imamu Muslim