Hadithi
Historia na Taarekh.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
Historia ya Mtume. (46)
- Nasaba ya Mtume, rehema na amani za Allah ziwe juu yake (2)
- Wake zake Mtume Rehema na amani za Allah ziwe juu yake na hali ya Nyumba ya Mtume. (2)
- Watumishi wake Mtume rehema na amani za Allah ziwe juu yake: (1)
- Kuhama. (1)
- Vita alivyoshiriki na Ambavyo hajashiriki Mtume Rehema na amani za Allah ziwe juu yake: (2)
- Mikataba yake na jumbe zake Mtume rehema na Amani za Allah ziwe juu yake: (2)
- Kufa kwake Mtume rehema na amani za Allah ziwe juu yake: (3)
Mambo ya Mtume. (32)
- Sifa za kimaumbile (1)
- Mavazi yake Mtume Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake: (2)
- Safari zake Mtume Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake: (1)
Sifa za kitabia. (13)
- Ukarimu wake Mtume rehema na amani za Allah ziwe juu yake: (1)
- Haya za Mtume Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake: (1)
- Ushujaa wake Mtume Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake: (1)
- Usamehevu wake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake: (1)
- Huruma yake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake: (3)
- Maneno yake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake: (1)
- Kucheka kwake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake: (1)
- Upole wake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake: (1)
- Upole wake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake: (1)
- Vilivyo maalumu kwa Mtume. (1)
matokeo 51
- 2990
Sijawahi kumuona mwenye nywele ndefu na vazi jekundu zuri kuliko Mtume wa Mwenyezi Mungu rehema na amani ziwe juu yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3018
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akipendezwa sana na kuanzia kulia, katika kuvaa kwake viatu, na kutana kwake nywele, na twahara yake, na katika mambo yake yote
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3030
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, chombo chenye maji na mkongojo, basi anastanji kwa maji
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3060
Sikumuona Mtume -rehema amani ziwe juu yake- katu akipitiliza kucheka mpaka kionekane Kilimi ndani ya mdomo wake, bali alikuwa akitabasamu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3062
Nilihifadhi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- rakaa kumi
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim katika riwaya zake zote - 3063
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3110
Hivi nikuhadithieni hadithi kuhusu Dajali ambayo hajawahi kuhadithia Nabii yeyote watu wake! Hakika yeye ni chongo, na hakika atakuja akiwa pamoja na mfano wa pepo na moto,
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3145
“Hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu, ole wao waarabu na watahadhari dhidi ya shari iliyokaribia, imefunguliwa leo katika ngome ya Ya'juuju na Ma'ajuju upenyo wa kiasi hiki.”
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3153
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake na haya zaidi kuliko hata bikira ndani ya chumba chake, basi anapoona jambo asilolipenda tunajua kuwa hapendi kwa kupitia usoni kwake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3154
Muabuduni Mwenyezi Mungu peke yake msimshirikishe yeye na chochote, na acheni wanayosema baba zenu, na anatuamrisha swala na ukweli
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 3177
- 3220
Yakwamba Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa anapo swali anatanua kati ya mikono yake mpaka unaonekana weupe wa kwapa zake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3303
Kulikuwa na Mfalme mmoja katika wale waliokuwa kabla yenu, na alikuwa na mchawi wake
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 3306
Hakuna kwa baba yako matatizo baada ya leo
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 3317
Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- anapopiga chafya anaweka mkono wake au nguo yake juu ya kinywa chake, na anapunguza sauti yake
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad - 3321
Yalikuwa maneno ya Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- ni maneno ya wazi anayaelewa kila mwenye kuyasikia
Ni nzuriImepokelewa na Imamu Tirmidhiy - Imepokelewa na An-Nasaaiy - Imepokelewa na Abuu Daud - Imepokelewa na Ahmad - 3364
Laiti nisingeliogopea uzito kwa waumini -au kwa umma wangu-; ningeliwaamrisha kupiga mswaki kila wakati wa swala
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3381
- 3409
Ninamuapa Mwenyezi Mungu, ikiwa Mwenyezi Mungu atamuongoza mtu mmoja kupitia kwako, hilo ni bora zaidi kwako kuliko ngamia wekundu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3443
Alikuwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- akiitembelea msikiti wa Qubaa kwa kipando na pia kwa miguu, anaswali ndani yake rakaa mbili
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim kwa riwaya zake